Friday, April 18, 2014

THE GOOD FRIDAY

Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika wa Azania Front, Moses Kombe, (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya Kuwambwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika kanisa hilo Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa akiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la KKKT la Azania Front Dar es Salaam.
Waumini wa Kanisa la Kiinjili Tanzania KKT, la Azania Front la Dar es Salaam wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu.
Waumini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph wakiwa kwenye ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika leo kanisani hapo.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoriki, Mwadhama Polycap Kadinali Pengo akiubusu Msaraba wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam leo.
Waumuni wa Kanisa la Mtakatif Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa wanaubusu Msaraba wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mtoto, Vanes Mpupua akiubusu Msaraba wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatif Josef Dar es Salaam.
Mmoja wa Watoto waliofika katika Kanisa la Mtakatif Josef akiubusu Msaraba wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu iliofanyika Dar es Salaam.

DIAMOND AULA MTV Africa Music Awards (MAMA)

 
Shining a spotlight on the African continent and the amazing achievements of Africans around the world, MTV Base today revealed the nominees for the 2014 MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal supported by Absolut & The City of Durban.
The prestigious MTV Africa Music Awards (MAMA) nominations were revealed at a glittering nominations celebration at The Sands, Johannesburg, South Africa by MTV Base VJs Nomuzi Mabena and Sizwe Dhlomo, alongside Alex Okosi, Senior Vice President & Managing Director, Viacom International Media Networks (VIMN) Africa, Tim Horwood, Channel Director, MTV Base and Shirley Mabiletja, Brand Manager: Absolut, Pernod Ricard South Africa.
Tied for first place in the nominations were South African artists Mafikizolo and Uhuru, and Nigerian artist Davido, who each scored 4 nominations while going directly head-to-head for Song of the Year, Artist of the Year and Best Collaboration.
Celebrating musicians and achievers who have made the most impact on African youth culture throughout the year, MAMA 2014 will feature dazzling performances from African and international artists, including the awards’ signature collaborations between artists of different genres and cultures – a high point of every show.
Commented Alex Okosi, Senior Vice President & Managing Director, Viacom International Media Networks Africa, “We congratulate all the nominees for the 2014 MTV Africa Music Awards. This year, the MAMA offers a stunning platform for African artists, it also celebrates the young personalities, leaders and creatives who are making a positive impact on the continent.
The MAMA nominations in full:
Best Male
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Best Female
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Best Group
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
Best New Act
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)
Uhuru (South Africa)
Best Live Act
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)
Best Collaboration
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)
Artist of the Year
Davido (Nigeria)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)
Song of the Year
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee – ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)
Best Hip Hop
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)
Best Pop
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa)
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)
Best Alternative
Gangs of Ballet (South Africa)
Michael Loman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)
Best Francophone
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)
Youssoupha (Congo)
Best Lusophone
Anselmo Ralph (Angola)
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)
NON MUSIC CATEGORIES
Personality of the Year
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)
Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)
Voting for the MTV Africa Music Awards is open at www.mtvbase.com from 16 April 2014 until midnight on 4 June 2014.

Monday, April 14, 2014

Picha Kutoka Bunge Maalum la Katiba Leo Mjini Dodoma

 
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Philemon Ndesamburo (kulia) naProfesa  Kulikoyela Kahigi wakiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.
 
 Mwenyekiti wa Kamati namba sita wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Wassira akiwasilisha maoni ya Kamati yake leo mjini Dodoma kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo.
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi  kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye leo mjini Dodoma.
   Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi  kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye leo mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne Makinda (kushoto) na Pandu Ameir Kificho(kulia) wakifuatilia mjadala kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jussa (kushoto),Macharo Othman Said(katikati) na Nassor Ahmed Mazrui wakiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akisalimia wajumbe wa Bunge hilo  mara baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma
Baadhi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wakitoka ukumbini baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.

basata yaomboleza kifo cha muhidin maalim gurumo

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Muhidini Maalimu Ngurumo

“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na  unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” 
Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote nchini, aidha tunawatakia moyo wa subira katika wakati huu wa majonzi ya kuondokewa na mpendwa wetu.

Mwenyezi Mungu aipumzishe mahala pema peponi roho ya marehemu. Baraza liko pamoja na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

Imetolewa na
Godfrey Mngereza
Kaimu Katibu Mtendaji

                                                         Baraza la Sanaa la taifa.

Thursday, March 27, 2014

nachukua nafasi hii ,kuipongeza kwa dhati taasisi ya ustawi wa jamii ,kwa kutumiza miaka 40 tangu ilipoanza rasmi kutoa huduma ya elimu .hongera za dhati ziende kwa Dr. Abou Mvungi - mkuu wa taasisi ya ustawi wa jamii , na kamati yote ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 40,ambayo kilele chake ni ijumaa tarehe 28 mwezi huu,mgeni rasmi akiwa ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete

                                 HAPPY 4OTH  ANNIVERSARY ISTITUTE OF SOCIAL WORK
www.mbungewaraha.blogspot.com

PEP GUARDIOLA AIONGOZA BAYERN KUTWAA UBINGWA WA HARAKA ZAIDI KATIKA HISTORIA YA BUNDESLIGA

History iliandikwa jana usiku! FC Bayern M√ľnchen wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa 23 wa Bundesliga baada ya michezo 27 tu - huu ndio ubingwa wa haraka zaidi katika historia ya Bundesliga.

Ubingwa huu ni wa tatu kwa Pep Guardiola katika msimu wake wa kwanza, alishinda UEFA Super Cup mwaka jana mwezi August, kisha wakashinda ubingwa wa klabu bingwa ya dunia December mwaka jana.

Je Guardiola ataweka rekodi ya kubeba makombe manne ndani ya msimu wake wa kwanza na Bayern Munich kwa kuchukua ubingwa wa klabu bingwa ya ulaya?

Tuesday, March 25, 2014

Majina ya Wasanii watakaowania Tuzo za KTMA mwaka 2014


Majina ya washiriki wa Tuzo za Kili (KTMA)
Wimbo Bora wa mwaka
Number One – Diamond
Joto Hasira – Jaydee
I love u – Cassim
Yahaya – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
Muziki Gani – Nay wa Mitego

Wimbo bora wa Kiswahili – Band 

Ushamba Mzigo – Mashujaa
Shamba la Bibi – Victoria sound
Chuki nini – FM Academia
Yarabi nafsi – Mapacha 3
Kiapo – Talent Band
Wimbo Afro Pop 
Number One – Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
I love u – Cassim
Tupogo – Ommy Dimpoz
Roho Yangu – Mavoko
Wimbo bora wa Hip Hop
Bei ya Mkaa – Weusi
Nje ya Box – Nick wa Pili & Joh Makini
Siri ya Mchezo – Fid Q
2030 – ROMA
Pesa – Mr Blue
Wimbo bora wa R&B 
Listen – Belle 9
Closer – Vanessa Mdee
So Crazy – Maua Samma
Kama Huwezi – Rama Dee
Wa Ubani – Ben Pol
Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego f/ Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee f/ Profesa Jay
Kidela – Abdul Kiba f/ Ali Kiba
Bila Kukunja Goti – Mwana FA & AY f/ J-Martins
Tupogo – Ommy Dimpoz f/ J-Martins
Wimbo bora wa Zouk Rhumba 
Yahaya – Lady Jaydee
Yamoto – Mkubwa na Wanawe
Msaliti – Christian Bella
Nakuhitaji – Malaika Band
Narudi Kazini – Beka
Mwimbaji Bora wa Kike – Kizazi Kipya 
Vanessa Mdee
Lady Jaydee
Linah
Maua Sama
Mwimbaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Ben Pol
Rich Mavoko
Diamond Platnumz
Ommy Dimpoz
Cassim Mganga
Msanii Bora Hip Hop
Fid Q
Stamina
Young Killer
Nick wa Pili
G-Nako

Msanii Bora Chipukizi 

Young Killer
Walter Chilambo
Y Tony
Snura
Meninah
Mtayarishaji Bora – Kizazi Kipya
Marco Chali
Man Water
Mazoo
Sheddy Clever
Nahreel
Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Belle 9
Ben Pol
Diamond
Rama Dee
Rich Mavoko
Mtunzi Bora Hip Hop
Nikki wa Pili
Young Killer
ROMA
Fid Q
G-Nako
Mtumbuizaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Diamond
Christian Bella
Rich Mavoko
Ommy Dimpoz
Abdul Kiba
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Yahaya – Lady Jaydee
Joto Hasira – Lady Jaydee
Uswazi Takeaway – Chege
Mama yeyo – GNako
Mtunzi Bora wa Mwaka Band
Christian Bella
Jose Mara
Chaz Baba
Nyosh El Saadat
Kalala Junior
Bendi ya Mwaka
FM Academia
Mapacha Watatu
Twanga Pepeta
Akudo Impact
Malaika Band
Mashujaa Band
Kikundi Cha Mwaka – Kizazi Kipya
Makomandoo
Navy Kenzo
Weusi
Mkubwa na Wanawe
Kikundi cha Mwaka – Taarab
Jahazi Modern Taarab
Mashauzi Classic
Five Stars
Mwimbaji Bora wa Kike – Taaarab
Khadija Kopa
Isha Ramadhani
Khadija Yusuph
Mwanahawa Ali
Leyla Rashid
Mwimbaji Bora Kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Hashimu Saidi
Mohamed Ali aka Mtoto Pori
Mwimbaji Bora Kiume – Bendi
Jose Mara
Kalala Junior
Charz Baba
Khalid Chokoraa
Christian Bella
Mtunzi Bora Taarab
Mzee Yusuf
El-Ahad Omary
El-Khatib Rajab
Kapten Temba
Sadiki Abdul
Nassoro Seif
Rapper bora wa mwaka – Bendi
Kitokololo
Chokoraa
Ferguson
Canal Top
Totoo Ze Bingwa
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Abuu Mwana ZNZ
Bakunde
Mwimbaji Bora wa Kike – Bendi
Luiza Mbutu
Catherine Cindy
Ciana
Wimbo bora wa reggae
Niwe Nawe – Dabo
Hakuna Matata – Lonka
Tell Me – DJ Aron f/ Fidempha
Bado Nahitaji – Chikaka f/ Bless P & Lazzy
Bongo Reggae -Warriors from the East
Wimbo bora wa Ragga/Dancehall
Nishai – Chibwa f/ Nuru
Sexy Girl – Dr Jahson
My Sweet – Jetman
Feel Alright – Lucky Stone
Wine – Princess Delyla
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone
Nakupenda Pia – Wyre f/ Alaine
Badilisha – Jose Chameleone
Kipepeo – Jaguar
Kiboko Changu f/ Radio and Weasel